iqna

IQNA

Ripoti
IQNA-Wakuu wa mahakama nchini Iraq wametangaza kuwa familia ya Abu Bakar al-Baghdadi, kinara wa zamani wa genge la kigaidi la Daesh (ISIS) imesailiwa baada ya kurejeshwa Iraq kutoka nje ya nchi.
Habari ID: 3478367    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/17

TEHRAN (IQNA) Duru za usalama Iraq zinadokeza kuwa kuna uwezekano kuwa, kinara wa kundi la ISIS au Daesh la magaidi wakufurishaji kundi, Abubakar al-Baghdadi amenaswa kwenye mzingiro uliowekwa kwenye katika mji Mosul nchini Iraq.
Habari ID: 3470916    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/04/03